Muddy Programmer Geofrey Codewriter Kama kawa tuko pamoja tena kwenye mtandao mwingine unaotukutanisha kwa pamoja wanajam, ambao um...
Comments
Hivi jamskendo maanayake nini?
Watengenezaji:
Geofrey Francis: Alimaliza jam mwaka 2007 na sasa anatarajia kwenda Dodoma University(UDOM) au Dar es salaam University(UDSM) baada ya kumaliza masomo yake pale MIST (Mbeya Institute of Science and Technology) ambapo alikuwa akichukua stashaada ya Uandisi wa Kompyuta.
Mohamed Mkadam:
Alimaliza jam mwaka 2007 na sasa yupo Dodoma University(UDOM) baada ya kumaliza kidato cha sita pale Mkandawile High School na anasomea kozi yaSayansi ya Kompyuta.